Moescience Smart Library — MSL ni mfumo kamili wa kidijitali wa kusimamia maktaba za shule za Tanzania — vitabu, wanachama, mikopo, ripoti, na zaidi — yote mahali pamoja.
📘 Soma Mwongozo wa Mtumiaji →Sajili vitabu na nakala zake (Copy IDs) — pamoja na rafu, safu, lugha, na hali ya kila nakala. Scan ISBN kwa kamera.
Scan QR ya mwanafunzi → Scan ISBN ya kitabu → Thibitisha. Inafanya kazi online na offline bila mtandao.
Kopa, rudisha, na fuatilia vitabu. Hali ya kitabu ikiwa Nzuri/Imeharibika/Imepotea inarekodiwa wakati wa kurudisha.
Vitabu vya Leo / Kesho / Inakaribia / Vilivyochelewa / Hatari — gawanya kwa kategoria 5 na tuma WhatsApp kwa wazazi.
Grafu za mwenendo wa mikopo, vitabu maarufu, masomo, na podium ya wasomaji bora wa shule.
Uliza kwa Kiswahili au Kiingereza — tafuta mwanafunzi, angalia mkopo, na jua faini bila akaunti.
Anasimamia maktaba yote ya shule — vitabu, mikopo, wanachama, na ripoti
Anaona shule zote za wilaya — vitabu, ratio, upungufu
Anasimamia wilaya zote za mkoa wake — takwimu na upungufu
Sajili vitabu, nakala (Copy IDs), kategoria, masomo, na madarasa. Pakia kwa wingi kupitia Excel.
Kopa vitabu kwa wanachama. Fuatilia tarehe ya kurudisha, faini otomatiki (TZS 200/siku, kikomo TZS 5,000).
Ripoti kamili ya uwiano wa vitabu kwa wanafunzi (GOOD/FAIR/SHORTAGE/CRITICAL) kwa kila somo.
Piga chapa ripoti za PDF — orodha ya wanachama, vitabu, mikopo, na upungufu wa vitabu.
Ina masomo 105 ya NECTA — kuanzia Kiswahili, Hisabati, Sayansi hadi masomo ya A-Level. Inafaa shule za msingi, sekondari, na kidato cha tano na sita.
Librarian anaweza kusimamia mikopo, vitabu, na wanachama moja kwa moja kutoka simu yake — hakuna programu ya kupakua.
Chagua mwonekano unaokufaa — giza usiku, mwanga mchana. Mfumo unakumbuka chaguo lako.
Kila session inalindwa na CSRF protection, vikao salama, na data yako haishirikiwi na mtu yeyote.
Imeundwa kwa shule za vijijini — inapakia haraka hata mtandao wa 3G au chini ya hapo.
Piga simu au tuma barua pepe — timu ya Moescience itakusaidia kuanzisha mfumo bila malipo yoyote.
Bei zote ni kwa mwaka. Anza bila malipo — unalipia baada ya kujiridhisha.
🎁 Trial ya Miezi 3 Bure: Basic: TZS 500/mwanafunzi · Standard: TZS 800/mwanafunzi · Premium: TZS 1,500/mwanafunzi · Institution: TZS 850,000/mwaka
📞 +255 768 139 301 ·
moescience@proton.me
Jisajili shule yako sasa na uanze kusimamia maktaba yako kwa ufanisi. Hakuna ada ya usajili.