✦ Mfumo wa Kisasa wa Maktaba

Simamia Maktaba Yako
kwa Ufanisi na Urahisi

Moescience Smart Library — MSL ni mfumo kamili wa kidijitali wa kusimamia maktaba za shule za Tanzania — vitabu, wanachama, mikopo, ripoti, na zaidi — yote mahali pamoja.

📘 Soma Mwongozo wa Mtumiaji →
Ziara ya moja kwa moja · data ya mfano tu
20+
Vipengele vya Smart Library
5
Ngazi za Uongozi
100%
Inafanya Kazi Offline
Bure
WhatsApp kwa Wazazi
    Kila Kitu Unachohitaji Kusimamia Maktaba
    Mfumo wetu una vipengele vyote muhimu vilivyoundwa mahususi kwa mahitaji ya shule za Tanzania. Bofya kadi yoyote kujifunza zaidi.
    📚

    Vitabu & Nakala

    Sajili vitabu na nakala zake (Copy IDs) — pamoja na rafu, safu, lugha, na hali ya kila nakala. Scan ISBN kwa kamera.

    Jifunza zaidi →
    📷

    Scan & Go

    Scan QR ya mwanafunzi → Scan ISBN ya kitabu → Thibitisha. Inafanya kazi online na offline bila mtandao.

    Jifunza zaidi →
    📖

    Mikopo & Faini

    Kopa, rudisha, na fuatilia vitabu. Hali ya kitabu ikiwa Nzuri/Imeharibika/Imepotea inarekodiwa wakati wa kurudisha.

    Jifunza zaidi →
    ⏰

    Overdue Engine

    Vitabu vya Leo / Kesho / Inakaribia / Vilivyochelewa / Hatari — gawanya kwa kategoria 5 na tuma WhatsApp kwa wazazi.

    Jifunza zaidi →
    📊

    Takwimu & Leaderboard

    Grafu za mwenendo wa mikopo, vitabu maarufu, masomo, na podium ya wasomaji bora wa shule.

    Jifunza zaidi →
    🤖

    Msaidizi wa AI

    Uliza kwa Kiswahili au Kiingereza — tafuta mwanafunzi, angalia mkopo, na jua faini bila akaunti.

    Jifunza zaidi →
    Muundo wa Ngazi za Uongozi
    Mfumo unafanya kazi kwa ngazi tano — kuanzia msimamizi mkuu hadi maktabari wa shule moja.
    1
    📚

    Librarian

    Anasimamia maktaba yote ya shule — vitabu, mikopo, wanachama, na ripoti

    Maelezo →
    →
    2
    🏛️

    Afisa wa Wilaya

    Anaona shule zote za wilaya — vitabu, ratio, upungufu

    Maelezo →
    →
    3
    🗺️

    Afisa wa Mkoa

    Anasimamia wilaya zote za mkoa wake — takwimu na upungufu

    Maelezo →
    Vipengele Vya Kina
    📚

    Maktaba ya Vitabu

    Sajili vitabu, nakala (Copy IDs), kategoria, masomo, na madarasa. Pakia kwa wingi kupitia Excel.

    📖

    Mfumo wa Mikopo

    Kopa vitabu kwa wanachama. Fuatilia tarehe ya kurudisha, faini otomatiki (TZS 200/siku, kikomo TZS 5,000).

    📋

    Ripoti ya Ukaguzi

    Ripoti kamili ya uwiano wa vitabu kwa wanafunzi (GOOD/FAIR/SHORTAGE/CRITICAL) kwa kila somo.

    🖨️

    Ripoti za Kuchapisha

    Piga chapa ripoti za PDF — orodha ya wanachama, vitabu, mikopo, na upungufu wa vitabu.

    Kila Mtumiaji Ana Jukumu Lake
    Bofya jukumu lolote uone maelezo ya kina ya kile anachoweza kufanya.
    📚 Ngazi 5 · Librarian

    Librarian

    Wewe ndiye moyo wa maktaba — unasimamia kila kitu kuanzia vitabu hadi wanachama.
    • Ongeza, hariri, na futa vitabu na nakala zake
    • Kopa kitabu kwa mwanachama — mfumo unakumbuka tarehe ya kurudisha
    • Rudisha kitabu na uangalie faini inayodaiwa otomatiki
    • Ongeza wanachama wapya — Library ID inazalishwa yenyewe
    • Lipa, badilisha, au ondoa faini ya mwanachama
    • Chapisha orodha ya vitabu, mikopo, na wanachama kwa PDF
    • Angalia takwimu za shule yako — vitabu, mikopo, upungufu
    💡 Huhitaji ujuzi wa kompyuta — mfumo ni rahisi kutumia na una maelekezo ya Kiswahili.
    📊 Takwimu za Librarian
    Vitabu vilivyosajiliwa5,086
    Nakala zinazopatikana3,922
    Mikopo hai sasa hivi1,163
    Faini ya siku mojaTZS 200
    Kikomo cha fainiTZS 5,000
    Vitabu vilivyopotea1
    🏛️ Ngazi 4 · Afisa wa Wilaya

    Afisa wa Wilaya

    Fuatilia shule zote za wilaya yako — ona upungufu na ufanisi wa kila maktaba.
    • Angalia shule zote za wilaya kwa jedwali au kadi
    • Ona ratio ya vitabu kwa wanafunzi kwa kila shule na somo
    • Gundua shule zenye CRITICAL — zinahitaji vitabu haraka
    • Angalia idadi ya wanafunzi na wanachama wa kila shule
    • Rejesha nywila ya maktabari wa shule yoyote ukihitajika
    • Chapisha ripoti za PDF za wilaya nzima kwa wakati mmoja
    🏛️ Afisa wa Wilaya hana uwezo wa kubadilisha data ya maktaba — anaona na kufuatilia tu.
    📊 Anaona Nini Afisa wa Wilaya
    Shule zote za wilayaZote
    Ratio ya vitabu (GOOD)1:1 — 1:2
    Ratio ya vitabu (FAIR)1:3 — 1:5
    Ratio ya vitabu (SHORTAGE)1:6 — 1:9
    Ratio ya vitabu (CRITICAL)1:10+
    Rejesha nywilaNdiyo
    🗺️ Ngazi 3 · Afisa wa Mkoa

    Afisa wa Mkoa

    Simamia wilaya zote za mkoa wako — takwimu, upungufu, na ufanisi wa shule.
    • Angalia wilaya zote za mkoa wako kwa mkupuo mmoja
    • Linganisha utendaji wa wilaya — ratio za vitabu
    • Angalia shule zenye CRITICAL au SHORTAGE kwenye mkoa
    • Ripoti ya mkoa ya uwiano wa vitabu kwa wanafunzi
    • Ona idadi ya shule na wanafunzi kwa wilaya
    🗺️ Afisa wa Mkoa anaona wilaya zake tu — hawezi kuona mikoa mingine wala kubadilisha data.
    📊 Anaona Nini Afisa wa Mkoa
    Wilaya za mkoa wakeZote
    Mikoa mingineHapana
    Shule za mkoaZote
    Kubadilisha dataHapana
    Kuona takwimuNdiyo
    Jukumu lakeUfuatiliaji
    🎓 Umma · Mwanafunzi

    Mwanafunzi / Umma

    Huduma za maktaba zinapatikana bure kwa umma — hakuna akaunti wala usajili unaohitajika.
    • Angalia hali ya mkopo wako kwa jina lako au Library ID
    • Angalia vitabu ulivyokopa na tarehe ya kurudisha
    • Jua faini unayodaiwa kabla hujaenda maktabani
    • Tumia Msaidizi wa AI kuuliza maswali ya maktaba
    • Huduma inapatikana saa 24 bila ya kwenda maktabani
    🔓 Ukurasa wa Student Lookup uko wazi kwa umma — tembelea library.moescience.com bila kusajili.
    📊 Huduma za Umma
    Usajili unaohitajikaHapana
    Tafuta kwa jinaNdiyo
    Tafuta kwa Library IDNdiyo
    Msaidizi wa AIBure
    Inapatikana saa ngapi24/7
    Ada ya hudumaBila malipo
    Kwa Nini Chagua Moescience Smart Library — MSL?
    🇹🇿

    Imejengwa kwa Tanzania

    Ina masomo 105 ya NECTA — kuanzia Kiswahili, Hisabati, Sayansi hadi masomo ya A-Level. Inafaa shule za msingi, sekondari, na kidato cha tano na sita.

    📱

    Inafanya Kazi Simu Jinsi ya kufikia →

    Librarian anaweza kusimamia mikopo, vitabu, na wanachama moja kwa moja kutoka simu yake — hakuna programu ya kupakua.

    🌙

    Dark / Light Mode

    Chagua mwonekano unaokufaa — giza usiku, mwanga mchana. Mfumo unakumbuka chaguo lako.

    🔒

    Salama na ya Kuaminika

    Kila session inalindwa na CSRF protection, vikao salama, na data yako haishirikiwi na mtu yeyote.

    ⚡

    Haraka hata Mtandao Polepole

    Imeundwa kwa shule za vijijini — inapakia haraka hata mtandao wa 3G au chini ya hapo.

    🤝

    Msaada wa Moja kwa Moja

    Piga simu au tuma barua pepe — timu ya Moescience itakusaidia kuanzisha mfumo bila malipo yoyote.

    Inafanya Kazi Hata Bila Mtandao
    MSL inafanya kazi kikamilifu bila intaneti — data inaingia kwenye kifaa chako, inachakatiwa locally, na inarejeshwa server mtandao ukirudi. Maktaba haitasimama kwa sababu ya mtandao mbaya.
    📚 Mkopo & Urudishaji — Offline

    Mkopo na Urudishaji Unaendelea Hata Bila Mtandao

    1
    Toa Mkopo Offline
    Librarian anaweza kutoa kitabu kwa mwanachama bila mtandao — namba ya mwanachama na namba ya kitabu vinahifadhiwa kwenye kifaa (IndexedDB) mara moja.
    2
    Rekodi Urudishaji
    Kitabu kikirudishwa, urudishaji unaingizwa locally — tarehe, hali ya kitabu na faini (kama ipo) vinakokotolewa bila server.
    3
    Historia Inaonekana Offline
    Maktabari anaweza kuona historia ya mikopo, vitabu vilivyochelewa na wanachama wenye madeni — bila mtandao.
    4
    Mtandao Ukirudi — Sync Otomatiki
    Data yote ya mikopo iliyoingia offline inarejeshwa server kiotomatiki — bila kufanya kitu wewe.
    ✓ Toa Mkopo ✓ Rekodi Urudishaji ✓ Kokotoa Faini ✓ Historia ya Mikopo ✓ Vitabu Vilivyochelewa
    📵 Hali ya Mtandao
    Toa Mkopo✓ Offline
    Urudishaji✓ Offline
    Kokotoa Faini✓ Offline
    Historia ya Mikopo✓ Offline
    Sync Baadaye🔁 Otomatiki
    💡 Shule zenye mtandao wa simu wa kukatika katika — MSL inafanya kazi kikamilifu bila mtandao. Sync inafanyika background ukiwa na mtandao.
    Chagua Kifurushi Kinachokufaa
    🎁 Miezi 3 Bure — Hakuna Malipo 📦 Data Migration Imejumuishwa

    Bei zote ni kwa mwaka. Anza bila malipo — unalipia baada ya kujiridhisha.

    📚 Basic Plan
    TZS 500/mwanafunzi/mwaka
    ✓ Hakuna setup fee · Anza mara moja
    • ✓ Katalogi ya vitabu
    • ✓ Kukopa na kurudisha
    • ✓ QR Scan & Return
    • ✓ Vitabu vilivyopotea
    • ✓ Batch books
    • ✓ Usimamizi wa wanachama
    • ✓ Vitambulisho vya maktaba
    • ✓ Hifadhi ya mikopo
    • ✓ Shortage analysis
    • ✓ Print reports
    • ✓ Ripoti za msingi
    • ✓ Offline mode
    • ✗ Faini za vitabu
    • ✗ Analytics za kina
    • ✗ AI Assistant
    • ✗ WhatsApp alerts
    🎯 Jaribu Basic Bure — Miezi 3 →
    🔢 Hesabu Bei Yako
    Bei ya mwaka TZS 100,000
    Setup fee TZS 0 (bure)
    Jumla mwaka wa kwanza TZS 100,000

    🎁 Trial ya Miezi 3 Bure: Basic: TZS 500/mwanafunzi · Standard: TZS 800/mwanafunzi · Premium: TZS 1,500/mwanafunzi · Institution: TZS 850,000/mwaka
    📞 +255 768 139 301  ·  moescience@proton.me

    Anza Leo — Bure Kabisa!

    Jisajili shule yako sasa na uanze kusimamia maktaba yako kwa ufanisi. Hakuna ada ya usajili.

    📧 moescience@proton.me  ·  🌐 library.moescience.com